Familia ya Sakapala inapenda kutoa shukrani za dhati kwa kuweza kuhitimisha HITMA ya mdogo wetu Marehemu Jamila Simba Sakapala.
Shukrani nyingi sana kwa wale wote mlioweza na hata walioshindwa kuhudhuria kutokana na kubanwa na majukumu pia asanteni kwa vyakula, vinywaji, pamoja na kujitolea muda wenu na kufanikisha shughuli nzima. Ama kwa hakika hatuna cha zaidi na kuwalipa, Insha Allah Mwenyezi Mungu atawazidishia... Ameeeeen
No comments:
Post a Comment