Karibuni Sana Wapendwa Wote
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu itakaoongozwa na Baba Askofu kwa nia kumsimika Fr. Honest Munishi kama Paroko mpya wa kanisa Takaifu Katoliki la Mtakatifu Edward.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000
Tarehe 8 Februari 2015. Saa nne kamili asubuhi (10:00 AM).
Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na Wakatoliki DMV anwani
Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Honest Munishi, ni
katibu wa Wakatoliki DMV Dani Steven
Ibada zetu za mwisho wa mwezi zitarejea mwezi wa tatu 2015.
Ibada za mwisho wa mwezi Januari 25 na Februari 22 zimesitishwa kwa sababu za kiufundi.
Samahanini sana kwa mabadiliko nhaya a karibuni tujumuike pamoja Februari 8, 2015.
No comments:
Post a Comment