Familia ya Sakapala inapenda kuwataarifu HITMA ya Marehemu Jamila Simba Sakapala itakayofanyika Siku ya Jumamosi January 17, 2015
Anuani:
Wheaton Claridge Local Park
11901 Claridge Road,
Silver Spring, MD 20902
Kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jiioni (2pm -6pm).
Ukipata taarifa hii tunaomba umtaarifu na mwingine.
Kwa maelekezo zaidi wasiliana na...Zawadi Sakapalla-Ukondwa (301 379 2342)
Abdoul Simba Sakapala
No comments:
Post a Comment