ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 14, 2015

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka
“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi simu le mazafantazzz.....thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know! - le Mutuz”

Kwa mujibu wa Le Mutuz, kwasasa mama yake yupo poa
Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu.

5 comments:

Anonymous said...

Jamaa huyu atakuwa lini? Act your age, Mzee!

Anonymous said...

Huyo lulu sio rafiki.ni mjukuu kwake.angemshukuru mjukuu kwa kumjali

Anonymous said...

Yes wewe mdao hapo juu na kubaliana na wewe kabisa hilo jamaa ni kubwa jinga hali Wezi kukua hata siku moja.Kubwa jinga ovyooooo.

Anonymous said...

Mzee Lemutuz hivi unaelewa tofauti kati ya urafiki na kujipendekeza?

Anonymous said...

SHOTIII