Kutoka kushoto ni Taji, Mayor, Rashid Mkakile, Eliud na Kessy wakipata picha ya pamoja na Rashid walipokwendakumjulia hali leo Jumamosi January 17, 2015
A.Alaykum, nategemea mnaendelea vizuri katika shughuli zenu za kila siku kwa uwezo wake Allah
Nilikuwa nawajuulisheni kuwa kutakuwa na kisomo cha kumsomea Ndugu yetu Rashid Mkakile ambaye ni mgonjwa alikuwa amelazwa Hospital ya Beth Israel Deaconess Medical Center na sasa hivi yupo kwenye Physical therapy kwa ajili ya Recovery, lakini bado ni mgonjwa
Tunamuomba Mungu ampe uzima wake na duwa zenu zinahitajika
Tunawaomba kwa kila mwenye uwezo wa kuja kusoma kwa pamoja itakuwa vizuri na kisomo kitafanyika siku ya Jumamosi 1/17/2015 Kuanzia 4:00PM to 7:00PM
Address ya ukumbi ni
10 Putnam St,
RoxburyMA 02119
Zaidi unaweza kuwasiliana na
Salum 617-308-2971
Ikota. 240-988-0359
Nyote mnakaribishwa.
1 comment:
Wana dmv mmefanya vizuri kwenda kumjulia hali rafiki yetu kaka yetu anayeumwa. Mungu atampatia uponyaji kwasababu sisi ni watumishi wake tunamtegemea siku zote za maisha yetu.mungu azidi kukuonekania.amen
Post a Comment