Maofisa na wachezaji wa BDF XI ya Botswana wakitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na maji yao ya kunywa. Timu hiyo leo Jumamosi inacheza na Yanga jijini Dar es Salaam katika mechi ya Kombe la Shirikisho.
PICHA NA KHATIMU NAHEKA
Amis Tambwe akiwa chini ya ulinzi kama hivi lakini aliwaponyoka na kukwamisha magoli mawili kila kipindi.
KIKOSI cha BDF XI kilitua nchini tangu juzi Alhamisi tayari kuivaa Yanga leo na katika kuonyesha ipo makini, imekuja na maji ya kunywa ya kutosha huku wakisikitika kushindwa kubeba vyakula.
No comments:
Post a Comment