ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 8, 2015

BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

2 comments:

Anonymous said...

Hawa kama wangekuwa kweli Rais angewaangalia hata kuwapa uwaziri kamili lakini amegundua hawafai hata uwaziri kamili urais watauweza wapi?hakuna lolote hapo zaidi ya kujiuza wenyewe lakini hawauziki hata kwa bei ya kutupwa.

Anonymous said...

Nakubaliana na mdau hapo juu. Kuwa Rais is not a popularity contest. Nchi yetu itafanya makosa kuwaweka hao vijana wenye tamaa ya vyeo. Kuwa vijana is not significant when it comes to leadership and long-term welfare of our country. We can do better than that!