ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 16, 2015

DIAMOND, ZARI WAFUNIKA ZANZIBAR

MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' Zanzibar.
Wakiendelea kufanya yao.
Zarinah Hassan 'The Boss Lady' akiwaza jambo.
Diamond Platnumz akiendesha kigari cha kutembelea kwenye hotelini akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady'.

1 comment:

Anonymous said...

kwakweli diamond umeopoa kibaby kizuri sana jamani mmmh mpaka nakuonea wivu hajalishi hata kama angekuwa na watoto mia hajalishi bado anavutia na mrembo kweli zari,zarina baby.

washikaji wake hata hawa time wanaona mwenzetu kapata mmm hawana hamu,dj wake hata hataki kuwaangaia haaaaaaaaaaaaaaaaaaa.te te te iiii.

big up diamond