ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 10, 2015

DOGO ALIYE KATAZWA KUTOA NGOMA NA MR BLUE KAIACHIA

Ni upcoming wa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania maarufu kwa jina la ‘Msami’ ambaye aliwahi kupigwa biti na Mr Blue kwa madai ya kwamba Blue hataki Dogo atoe ngoma zake kisa sauti zao zinafanana.
Hivyo basi Dogo msami kashindwa kuvumilia na kuamua kuachia ngoma moja inayoitwa ‘Hajawahi’ ukisikiliza nilazima ucheke maana unaweza ukazania ni Mr. Blue kabisa ngoma imetengezwa na Producer Mo fire katika studio ya Fire music. Sikiliza hapa:

2 comments:

Anonymous said...

Mr Blue?? is this a joke? Mr Blue bwana enzi za Blue blue alikuwa hana mpinzani.

Anonymous said...

dogo nakupa kumi sauti kama mr blue si mchezo babake. kazi kwako mr blue.acheni bangi;mnaona sasa madogos wanaku fatiliyeni mwendo mkali.kiukweli uhalisia hauwezi kuwa photo copy japo kuwa dogo anafanana sana kabisa ki sauti.