ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 22, 2015

Justa (founder of Curious on Tanzania) had the opportunity to interview one of Nyerere's philosophy followers. Meet Constantine Magavilla



Hapa ni Watanzania ambao walikutana na kujaribu kila mmoja kuongea juu ya wanavyoelewa history ya Mwl. Nyerere. Siku hii iliandaliwa na  Johanne Brierre pamoja  na Justa the Founder of curious on Tanzania anaeishi New York Siku ya tarehe 19 kwenye hotel ya Roges NYC.
 The Panelists:

Nathan Chiume - Moderator
Deogratius Mhella - Speaker
Shabani Mbeba - Speaker
Sofia Luangisa - Speaker
Mteteaji Mlimwengu - Speaker
Kwa Picha zaidihili kuona watu waliuojitokeza na kupata nafasi ya kuongea na kuuliza maswali jitiririshe chini kwa kubofya soma zaidi.


5 comments:

Anonymous said...

Mkiangalie Hii video kwenye Youtube, yaani the WHOLE HEART of Mwalimu is here.Just watch it.Ni video ya Hotuba ya Mwaka 1995 MBEYA:https://www.youtube.com/watch?v=jE7oTPXtpas

Anonymous said...

Naijua historia ya mwalimu nyinyi mbona mnaonekana wadogo sana.waaulizeni wazee wa gerezani watakuhadithiyeni vizuri bila ya chenga.
nadhani mnge fanya historia ya hayati marehemu Edward moringe sokoine mngemtendea haki kweli kwa sabubu yeye ndo aliyekuwa mtetezi wa kweli wa wanyonge. ufisadi huu mnao uona hivi wa kuuibiwa mapesa,ukosefu wa ajira,vijana kuwa wateja vijiweni ajira hakuna yeye angekuwepo habari hizi zisingekuwepo.

huna kazi ya maana ya kufanya mujini mujini unakwenda kijiji kuliza hakuna misheni town wala kuzuba zuba ovyoo vijiweni bila shughuli maalum.

hayati sokoine ndo aliyekuwa mtetezi wa kweli wa wanyonge.mwanzi mwisho japo kuwa kila binadamu hakosi kuwa na mapungufu yake na mame yake pia tusiyasahau.

Anonymous said...

You know what wabongo aibu zenu na viongozi wenu......I am sure if mwalimu angekuwa mzima things would have been different. ..too much wizi, ujinga and selfish idiology....
Too many vyeo visivyokuwa na maana.....shame

Anonymous said...

Wow! very nice interview keep it up Justa. Happy to hear from a young gentle man who embrace what Mwalimu did to our country!

Another fan to both of you (Justa and Constantin)

Good job!

Anonymous said...

Naam bila ya wazee wa gerezani hakuna historia ya mwalimu nyerere hapo.