Mhe. James Lembeli katika picha ya pamoja na Mhe. Omar Mjenga Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai
Kamati ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. James Lembeli, imefanikiwa kuitembelea Manispaa ya Dubai na Mji wa Michezo wa Dubai (Dubai Sports City).
Aidha, Mhe. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliongozana na Kamati. Ziara hii fupi imekuwa ya mafanikio makubwa, kwani kamati pamoja wajumbe wengine wamekubaliana masuala muhimu ambayo wameona yanafaa kuishairi Serikali kuyafanyia kazi ili kuwa na Mipango Miji ya kisasa
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai aliongozana na ujumbe huu wa Kamati wakati wote wa ziara
No comments:
Post a Comment