ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 15, 2015

KIKAKO CHA BARAZA LA UONGOZI WA KANDA YA KASKAZINI -KATIKA HOTELI YA THE NEW ARUSHA HOTEL

  Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman A.Mbowe akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Mhe Israel Natse wakiwa wanaingia ukumbi wa JUMUIKA
  Viongozi wa kuu wa Chadema Taifa pamoja na Kanda wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kikao cha baraza la kanda ya kaskazini kuanza

 
 Waheshimiwa wabunge wakiwa wanaimba wimbo wa Taifa
  Katibu wa Kanda ya kaskazini Mhe Amani Golugwa akiwakaribisha wajumbe wa kikao cha baraza la Kanda ya Kaskazini , wajumbe wa kikao wametoka katika majimbo 33 ya kanda
  Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mhe Salimu Mwalimu akiongea na Wajumbe wa baraza la uongozi wa kanda ,na kufafanua majukumu na utekelezaji wa kanda kaitika ujenzi wa chama
  Mwenyekiti wa Kanda ya kaskazini Mhe Israel Nates akitoa neno la ufunguzi kwa wajumbe na kumkaribisha Naibu katibu Mkuu Zanzibar
  Mhe Freeman A.Mbowe akiwa hutubia wajumbe wa baraza la kanda pamoja na waandishi wa habari, akifafanua baadhi ya mambo ambayo yanaendendea katika nchi yetu kwa sasa, pia akiitaka tume kuwa na msimamo wa siku na tarehe ya kuanza zoezi la uandikishaji wa Wanachi kwenye daftari la kupiga kura.Picha na Chadema

No comments: