Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio kutoka nchini Marekani
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Katika kipindi kilichomalizika leo, Februari 7, 2015 tumezungumzia kuhusu historia ya Hayati BOB MARLEY. Msanii maarufu zaidi wa Reggae duniani, ambaye siku ya jana ulimwengu ulikumbuka miaka 70 tangu kuzaliwa kwake
Karibu uungane nasi
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658.

No comments:
Post a Comment