ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 10, 2015

Kwetu Mbagala Part 2 of 2 [ Tanzania Movie]

1 comment:

Anonymous said...

haloo mbagala imekuwa sinza. halooo. riyama ally kweli wewe chachandu ya bongo movie unafuahisha na maneno yako yakiswahili Swahili waaah natamani nikija bongo nije kukuona jamani tutengeneze movie bab kubwa.

unajua nimeipenda movie hii sema nyimbo hafanani na tamdhiri hii, jamaa nas kamdanganya demu kwamba anakaa sinza wakati yupo mbagala, halafu nyimbo inasema sikatai najua kwetu viraka, wakati hajamjulisha kabisa huyu demu kwamba kwao mbagala,so amekataa kusema ukweli na nyimbo inavyopigwa inapotosha maana ya tamdhilia.

nitafanya kweli nikishuka bongo titamtafuta riyama tutengeneze movie bab kubwa si mchezo.

naupenda sana usanii wako riyama ally na jinsi ulivyo na heshima huna majungu wala hutaki makuuu ni mstaarabu sana na mwanamke unayejitambua I like that riyama ally.

mungu akubariki sana sana kabisa always amen.