ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 20, 2015

LOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Ngoyae Lowassa akimwaga udogo katika mazishi ya mwakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mnadhimu na katibu wa wakilishi wa Chama Cha Mapinduzi katika Baraza la wawakilishi na Mjumbe wa kamati Kuu ya ccm Mh Salmin Awadh Salmin kijijini kwao Makunduchi leo Ijumaa.Marehemu alifariki ghafla jana
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kushiriki mazishi hayo leo.

No comments: