Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kufundisha darasa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mpilipili huko Lindi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza mtoto Mohammed Hashim mara baada ya kuimba wimbo wa Taifa.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akisahihisha madaftari ya wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma Shule ya Msingi Mpilipili katika Manispaa ya Lindi mara baada ya kuwafundisha na kuwapa zoezi wanafunzi hao.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpilipili mara baada ya kutembelea kitengo cha elimu maalum shuleni hapo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaelekeza wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpilipili namna bora ya kubeba mifagio yao ili kuepuka kuwaumiza wanafunzi wenzao.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpilipili mara baada ya kutembelea kitengo cha elimu maalum.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Mtuleni B katika Kata ya Matopeni huko Lindi Mjini.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya wananchi wenye shauku kubwa wakati alipowasili kwenye eneo la mkutano wa hadhara kwenye Tawi la Mpilipili Kaskazini katika Kata ya Nachingwea huko Lindi Mjini.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Tawi la Mpilipili katika Kata ya Nachingwea huko Lindi Mjini .
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia mamia ya wananchi wa Kata ya Nachingwea baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Tawi la Mpilipili Kaskazini huko Lindi Mjini. PICHA NA JOHN LUKUWI
3 comments:
I really don't understand Tanzanians logic. Now the kids are learning "Hisabati", a few years later they will switch to mathematics. How is anyone going to be proficient in anything? This is nuts!!!
And what's Mr. Anonymous (above) logic? Just being a silly critic?
ccm oyeeee.ndo ccm hiyo na ndo logic yao ndo hiyo na wanachopata chao watajaribu sana kuwatetea na kuuliza what is logic? well what you see in this picture is what is called logic.mwanzo mwisho ccm.
nenda kachukuwe buku 7 zako makao makuu umetetea sana kwa kuuliza what is logic.
Post a Comment