ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 2, 2015

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. BILAL AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM DAR ES SALAAM

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyofanyika jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyoadhimishwa  jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.
 Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akiwahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyoadhimishwa jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhan Madabida, akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kuzungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyoadhimishwa  jana  kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. Picha na OMR

No comments: