Mwalimu Nyamata Juliana Musika enzi ya uhai wake
Familia Mzee samwel musika wa ikizu musoma Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha binti yake mwalimu Nyamata Juliana Musika kilichotekea Dar es salaam. Taratibu za kusafirisha mwili wa marehumu kwenda ikizu musoma zinaendelea.
Msiba utakuwa nyumbani kwa Daudi Taraba kuanzia leo jumamosi hadi jumapili 2/9/2015.
11536 Stewart lane
Sliver spring MD 20904
Sliver spring MD 20904
Kwa Mawasiliano na maelekezo tafadhali wasialana na
Daudi Taraba 5713327224
Mrs Yvonne Nzota Matinyi 301 792 3482
Neema Musika 571 991 9819
Specioser Musika 571 332 7224
Sijaona Musika 202 487 8612
Rossie Musika 240 706 0406

No comments:
Post a Comment