ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 7, 2015

MSIKILIZE MSAANI ERICA LULAKWA ALIVYOELEZA YOTE KATIKA KIPINDI CHA PAPASO.

Pichani mwimbaji maarufu wa muziki wa kizazi kipya "bongo flava" Erica Lulakwa ambaye anayeishi na kufanya kazi zake za muziki katika mji maarufu wa Los Angeles uliokuwepo katika jimbo la California nchini Marekani. 
Kwa habari zaidi na mawasiliano tembelea tovuti lake la http://www.ericalulakwa.com

Mahojiano ya msaani Erica alipotembelea Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) na kupata fursa ya kuzungumzia muziki wake na ujio wa album yake ya kwanza katika kipindi maarufu cha Papaso FM 1 & 2 mjini Dar-es-Salaam.