Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.
Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili mahakamani mjini Dodoma leo Jumatano Februari 11, 2015 kukabiliana na kesi yake ya uchochezi

No comments:
Post a Comment