Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na ujumbe wa mamlaka ya uwekezaji (Qatar Holding) mjini Doha, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar.
Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, akizungumza na ujumbe wa Zanzibar ukiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad mjini Doha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, baada ya mazungumzo yao mjini Doha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, baada ya mazungumzo yao mjini Doha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, baada ya mazungumzo yao mjini Doha.(Picha na Salmin Said, OMKR)





4 comments:
maalim tunakuamini maalim tuko nyuma yako maalim tunajua utatuleta ukombozi katika visiwa vyetu maalim Allah awe na wewe daima Allah ma amin.
mbona sehemu za comment hazionekana mkuu,na watu wanacomment.
huyu maalim hana mpango wowote, he is just another African dictator tangu zianze siasa za vyama vingi Tanzania, anagombea yeye tu urais wa Zanzibar na nadhani mwaka huu vile vile atagombea kwa mara ya sita(6). sidhani kama kule CUF hakuna viongozi wengine wazuri but he would never back down to give them an opportunity. hata hao ma CCM hupishana pishana katika kutafuta ulaji lakini jamaa hampi mtu nafasi. yeye tu kila siku Africa is full of dictators.
maalim si dictator maalim ndo mibwa unaowachachafia maccm na hatoki ngoo na atakombea mtake mistake ni kidume cha shoka na anakubalika na na nimtetezi wa kweli mwenye uchungu wa kweli na visiwa vya Pemba na Zanzibar hakuna kama yeye.
mi ccm ni mifisadi tu ukoo wa panya wanapokezana wenyewe ka wenyewe akiharibu huyu anakuja yule anaharibu zaidi ya aliyetoka madarakani.
maali hayupo hivyo na hatakuwa hivyo.
ccm visiwani hamna chenu wala lenu na maalim ndo anayekuchachafiyeni na haachi ngazi ngoo ngoo ngoo.
maalim chaguo letu semeni mtakavyoo maalim ndo kiongozi wetu wa cuf.
ma dictor wenu wa ccm huko huko na vibaraka wenu huku visiwani hawana chaooo.
cuf vidume vya shoka 2016 ingoeni ccm na wakishinda wameiba kuraaa kama kawaida yao huku visiwani.
Post a Comment