ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 6, 2015

Wastara Atoa Maneno ya Uchungu, Yawagusa Wengi!

Muigizaji wa filamu,Wastara Juma amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia. Na hivyo kupelekea mashabiki wengi kumpa pole na kumtia moyo kuwa yote yana mwisho wake na Mungu ndio mpagaji wa yote.
“Hapa duniani kila mtu ana shida na matatizo lakini kwangu mimi yamezidi daaah eeeh Mungu nibadilishe basi hiyo nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu niache kulia eeeh Mungu baba jamani mimii mimiii aah”.-Wastara aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Hakuweka wazi nini hasa kimempata,lakini picha hii inaonekana imetoka kwenye moja ya kipande cha filamu.

2 comments:

Anonymous said...

POLE KWA YOTE YALIYO NA YANAYOKUSIBU,ILA KULIA LIA SI DAWA!FIKIRIA MTOTO MDOGO ALIEFIWA NA WAZAZI WAKE WOTE,NA AMECHUKULIWA NA WATU WASIO NDUGU ZAKE ANAKUA KWA MATESO!FIKIRIA WALIOPATWA NA AJALI WANAVILEMA NA HAWANA NDUGU WA KUWAHANGAIKIA! NA ZAIDI YA HAPO.HUNA HAJA YA KULIA,MTUMAINIE MUNGU ATAKUPA MLANGO WA KUTOKEA KWA FURAHA TELE!GANGAMALA! NO RETREAT NO SALENDER!UKILEGA LEGA YAKUJA ZAIDI YA HAYO,PAMBANA!