Advertisements

Monday, March 9, 2015

AKINA MAMA WA MENNESOTA WASHEREHEKEA SIKU YAO KWA MBWEMBWE

Mama akipiga ngoma kwa ustadi kabisa siku ya akina mama dunia huko pande za Minnesota 
 Akina mama usharika wa kiswahili wakimsikiliza mama mwenzao katika sherehe za siku ya akina mama duniani.

 Akina mama wakipa ukodak kwenye sherehe hiyo
 Akina baba nao walikuwepo kwani palipo akina mama akinababa uwepo kutoa support.
 Mama akismile mbele ya ukodak kiroho safi

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni sana akina Mama wa Minnesota kwa kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio said...

Hongera sana akina mama wa Minnesota na wamama wote kwa kusheherekea siku kuu ya akina mama. Mungu azidi kuwabariki katika shughuli za kila siku za kifamilia na katika kuliinua Jina la Yesu Kristo.~ Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio