Wednesday, March 11, 2015

BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA

Mmoja ya majeruhi akiokolewa na wasamalia wema.
ABIRIA zaidi ya 40 wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Majinja Express ambalo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na kontena maeneo ya Changalawe, Mafinga mkoani Iringa muda huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa akijaribu kulipita lori ndipo walipodondokewa na kontena hilo.

Inadaiwa kuwa basi hilo lilikuwa limebeba abiria 65 na abiria nane tu ndiyo walionusurika katika ajali hiyo mbaya.
source:GPL

2 comments:

Anonymous said...

The time was long overdue for Tanzania to think of constructing one way road to reduce traffic accidents. Too many and frequent traffic accidents. I think leaders need to put this idea into the Development agendas if they have not.

Anonymous said...

Kwanini watanzania tunaishi kama mapunguwani? Hivi twajua tofauti ya uzembe na ajali? Hivi Mwenyenzi Mungu atakuwa hatupendi watanzania kiasi hiki?