ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 24, 2015

HAPPY BIRTHDAY MDAU HAMISI ALLY HAMISI AKA MZAWA WA KARIAKOO

Leo Jumanne 24.March 2015 ni siku ya kuzaliwa mdau Hamisi Ally Hamisi tunamuombea kila la heri,Afya njema na maisha marefu,Kijana Hamisi Ally Hamisi

alizaliwa siku kama ya leo 24 March,mtaa mchikichi/kongo st.18 Kariakoo jijini Dar
akiwa mtoto wa kiume wa alekuwa mchezaji kandanda wa timu za Benfrika,Kongo United "Shetani Wekundu" marehem Bw.Ally Hamisi Ally(RIP) aka De Stefano.


Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha kandanda


wadau mnaweza kuungana nae at www.facebook.com/hamisi.ally.7?fref=ts

No comments: