Advertisements

Thursday, April 2, 2015

IBADA YA MISA NA KUAGA MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE KUFANYIKA LEO ALHAMISI SILVER SPRING, MARYLAND

 Mzee Eddis Mgawe Enzi ya uhai wake

Familia ya Mgawe na Malinda inawataarifu kufanyika kwa misa na ya kuaga mwili wa mpendwa wao Mzee Eddis Mgawe itakayofanyika leo Alhamisi April 2, 2015 katika kanisa la Bethel World Outreach Church la Silver Spring, Maryland kuanzia saa 10:30 jioni (4:30pm) anuani ni 
8242 Georgia Ave, 
Silver Spring, MD 20910


Matarajio ya familia na kamati ni kusafirisha mwili siku ya Ijumaa Jumla ya michango wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma, ndugu, jamaa na marafiki ni 13,100  kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema amewezesha hili kwake yeye hakuna kinachoshindikana Watanzania wenzetu ndani na nje ya DMV tunaweza fikisha rambi rambi zetu kupitia Wells fargo acct # 8188051794 Routing # 055003201 jina ni Mary & Bernard Mgawe zip code ya acct ni 20774



Kwa hapa DMV msiba upo 
1702 Pinecone Ct, 
Bowie, MD 20721

Tunaomba wakina mama tusaidiane kuleta chakula na wakina baba tusaidiane vinywaji ili baada ya misa kuwe na vitafunwa

Kwa maelezo zaidi na maelekezo wasiliana na 

Iddy Sandaly 301 613 5165
Dr. Seche Malecela 240 643 8023
Hamza Mwamoyo 301 922 0618
Dickson Mkama (DMK) 301 661 6207
Loveness Mamuya 240 423 0437
Tino Malinda 240 565 7133
Bernard Mgawe 918 809 3134
Tuma Kaisi 301 433 3411
Sunday Shomari 614 622 1273
Raymond Abraham 301 793 4467
Ismail Bibagamba 301 272 4345
Dj Luke Joe 301 661 6696
Mariam Mpande 202 361 7144
Said Mwamende 301 996 4029

UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MWAMBIE NA MWENZAKO


Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe


3 comments:

Anonymous said...

Dr Seche na mr. president wanatumia same phone number?

Anonymous said...

Njoo lete msaada wacha udaku wa number za watu

Unknown said...

poleni xana