Wednesday, March 11, 2015

KINANA AITEKA CHEMBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulraman Kinana akihutubia wakazi wa Itolwa wilayani Chemba mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara zake za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa akiwahutubia wakazi wa Itolwa ambapo aliwaambia kuwa katika chaguzi za mwaka huu hatokata jina la chaguo la watu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Itolwa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ikiwa sehemu ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

Wananchi wakifuatilia hotuba za wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Kondoa Kusini Juma Nkamia akiwahutubia wakazi wa Itolwa waliofurika kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipitia taarifa zinazohusu maji na umeme katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akiwasalimu wananchi wa Itolwa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amepata mapokezi makubwa katika kijiji cha Chandama kata ya Mapango akiwa amaeongozana na Mbunge wa Jimbo la Kondoa kusini Ndugu Juma Nkamia.
Wananchi wa kijiji cha Chandama wakifurahia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrhaman Kinana.

PICHA ZAIDI



No comments: