Advertisements

Tuesday, March 17, 2015

Kipindi kipya cha Niambie Live kuanza kurushwa kesho

Hiki ni kipindi kitakachozungumzia baadhi ya mambo ambayo yametawala kwenye mitandao ya kijamii.
Kitawajia punde
USIKOSE kukifuatilia

10 comments:

Anonymous said...

mmmmhhhhhhhhhhh NO COMMENT! Ili mradi wasichafue hali ya hewa!

Anonymous said...

Safi sana I cant wait.

Anonymous said...

Hahahahahahaha.we cant wait jamani.Hongereni sana .kama namuona mtu fudenge wa Tandika michi lol anavyotapatapa.Luka usibanie wangu wa moyo.

Anonymous said...

Good job vijimambo, najua kitakuwa si mchezo

Anonymous said...

Namuamini Bosslady.....lete vituz

Anonymous said...

Finally we have a talk show in DMV, am happy for you guys!! Can't wait

Anonymous said...

Vitu vya maendeleo km hivyo tunataka mtu habari za Dunia....kama Wendy show wa Marekani.

Anonymous said...

Am happy for this show ili niwe guest nitangaze biashara yangu.

Anonymous said...

Whatever mtakavyofanya am proud kuona wanawake na maendeleo. Wanawake tunaweza

Anonymous said...

Naruhusiwa kuwa sponsor wa show.