ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 29, 2015

KISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV

Sala ya magharibi ikiendelea katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki huku wengine wakitokea New York na New Jersey.
Kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia sala ya magharibi iliyoanza kabla ya kisomo cha mpendwa baba yake aliyefariki siku ya Jumamosi March 21, 2015 Dar es Saam, Tanzania na kuzikwa siku ya Jumapili March 22, 2015 katika makaburi ya Magomeni Mtambani. Kisomo kilifanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
 Sala ya magharibi ikiendelea.
Ally Mussa Mikidadi akifuatilia kisomo cha mpendwa baba yake kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchijni Marekani.

Ustaadh Mabenzi (mwenye kipaza sauti) mmoja ya waongozaji katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchijni Marekani, kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia kisomo.

Ustaadh Malik (mwenye kipaza sauti) mmoja ya waongozaji wa kisomo cha baba mpendwa wa Ally Mussa Mikidadi akisaidiwa na kaka yake Ibrahim (kulia) kilichofanyika  siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchijni Marekani, kushoto ni Yusuf ambaye ni mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa dini ya Kislam DMV (TAMCO)

Balozi mstaafu Mhe. Mustafa Nyang'anyi (kushoto) akiwa na Seif Mohammed Ameir wakifuatilia kisomo

Watanzania mbalimbali wengine wakitokea majimbo ya New Jersey na New York wakijumuika na wenzao wa DMV katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchijni Marekani,

Watanzania wakijumuika pamoja katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchijni Marekani,

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi




1 comment:

Anonymous said...

Yaani, balozi Nyang'anya amehamia Marekani!