Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba (kushoto), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, James Mbatia (katikati) na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba (kulia) wakicheka kwa pamoja jana katika uzinduzi wa Kituo cha Runinga cha Azam kilichopo maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.
(PICHA GPL NA MTANDAO)


1 comment:
Lipumba, Mbatia na Nchemba wao wakikutana wanacheka na kupeana tano! Sisi wafuasi tunapigana na kutoana damu.
Viongozi wetu watusaidie tujenge uungwana wa kisiasa kama walionao hata kama tunatofautiana kiitikadi. Huko ndio kukomaa kisiasa. Siasa sio kwenda Ikulu tu.
Post a Comment