Advertisements

Saturday, March 28, 2015

MADUKA MBEYA BADO NI KITENDAWILI

Wakaazi wa jijini Mbeya wakiwa hawajui la kufanya baada ya wenye maduka yao jijini hapa kugoma kufungua maduka yao kutokana na kinachodaiwa ya kutopewa dhamana kwa mwenyekiti Taifa wa wafanyabishara huku akitaka aachiwe huru.
Maduku jijini Mbeya yakiwa yamefungwa.
Maduka yakionekana bado yamefungwa.
Ni shiida jijini Mbeya.
Hii ndiyo hali halisi maduka bado hayajafunguliwa leo siku ya pili 

Picha na Mbeya yetu

No comments: