Advertisements

Tuesday, March 24, 2015

MAJAMBAZI WAKIZUNGU WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI


SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://jijiletublog.blogspot.com/
WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
GARI WALIYOTUMIA KUPORA
POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI.
POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASI
WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI

No comments: