MECHI YA YANGA NA SIMBA NA WASEMACHO MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA
Video kwa hisani ya VOA
4 comments:
Anonymous
said...
dj luka na vijimambo team wote mungu akujaliyeni kila la kheir kwa kutuweka hii video clip,sisi tuliopo nje ya nyumbani huwa mnatufariji sana mnapotuwekea vitu kama hivi.
ahsante sana jamani yani imenitouch sana kwa kuona mnavyopenda kutupasha habari za nyumbani.kwakweli mungu akubarikini sana sana kabisa.amen
Rome was not build in one day,taifa change linajitahidi kwa kufika hapo hii leo na wana safari ndefu so wape moyo sio kila kitu kuponda tu.mtoto akizaliwa leo hawezi kutembea nakusema inachukuwa time. Tuwe wazalendo na nchi yetu japo kidogo wajameni sio kila leo kuwapa shutuma kisa uko majuu unaona kabumbu za kimataifa.
fanya utafiti wao wamefikaje hapo walipo haya mataifa na hao wachezaji wao wanalipwaje na changa moto ngapi wanazipata.
mtu mnatupiwa ndizi kuzarauliwa kwa ngozi yako unafikiri haimuasiri mchezaji kisaikolojia.je haya mbona hatuyasemi.
tuwe wazalendo japo kidogo.
big up timu zote za nchi yangu mtafika juu kuna siku mmoja very soon.
Wewe unayesema Rome was NOT built in one day uache ujinga. Yanga ni timu kongwe toka miaka ya 1930's, unataka kuniambia miaka yote hii mpaka sasa bado viongozi wao hawajuwi nini wakifanyacho? Acha ujinga mkuu....hizi timu hazina mpango, wewe angalia tu uchezaji wao....there's nothing there to state kwamba hizi ni timu za daraja la kwanza Tanzania. Mpira gani ule, huwezi kuweka uchawi mbele na kudharau vipaji na hiki ndicho kinachofanywa na hawa wachezaji. Bloody hell!

Yaani kweli mpira wa Tanzania bado ni wa kipuuzi halafu ukizingatia hizi ndizo timu kubwa Tanzania, Haibu kweli. Mpira hauna formation?

Post a Comment