Advertisements

Friday, March 27, 2015

MISWAADA KUDHIBITI MATUMIZI YA SIMU YAJA

26 March 2015.

Serikali ya Tanzania imesema mnamo mapema mwakani iyapeleka bungeni miswada mitatu ya sheria za usalama wa mtandao yenye lengo la kuongeza usalama wa matumizi ya huduma za kimtandao.
Aidha, kumekuwa na jumla ya matukio ya makosa mbalimbali ya kimtandao yaliyoripotiwa Polisi kati ya 2012 hadi 2014, huku kesi 212 zenye watuhumiwa 132 zikifikishwa mahakamani.

Naibu Waziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia, January Makamba aliyasema hayo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Assumpter Mshama.

No comments: