Advertisements

Sunday, March 1, 2015

NENO LA LEO

Paka hana kosa, mchukie anaye mtumia, shetani huweza kuingia mwilini mwa bosi wako, jirani yako, ndugu yako mkakorofishana mkachukiana, usimchukie bali muombee sio yeye. Ukijigeuza ukawa paka kwangu ntafurahi ule panya milele na hautarudi tena kuwa mtu  Mungu anahitaji kumuomba tu. Sali kabla ya kulala,
JAY PILI NJEMA, KWARESMA NJEMA.

1 comment:

Anonymous said...

hii pich ya paka ina tisha kishenzi.duu mmeshaanza mambo ya sangoma nyinyi vijimambo team.balaa kweli