Advertisements

Friday, March 27, 2015

Nikifa mazishi yangu nataka yawe ya mwaliko maalum – Lady Jaydee


Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko kama vile harusi zilivyo.

Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.

Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.

“I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa,” ameandika Jide.


4 comments:

Anonymous said...

Dalili ya kukata tamaa.need to surround herself with positive thinking people na kupata ushauri.

Anonymous said...

KAMA MWIISLAMU MAANA WAISLAMU HAWAFUNULIWII SURA ZAO ,ASANTE

Anonymous said...

hana habari she just try to get attention. that is real stupidity

Anonymous said...

Mnajuaje labda dr kashamuambia siku zaja maana nivizuri kujipanga