Advertisements

Tuesday, March 3, 2015

PICHA ZINGINE ZA MHE. JUSSA ALIPOONGEA NA WANADMV

 Mhe. Jussa akiongea na wanaDMV
 Katibu wa CHADEMA DMV Liberatus Mwang'ombe akiongea kusisitiza jambo
 Aliyekuwa makamu wa Rais DMV Bwn. Ray Abraham akiuliza swali.
 Meza kuuu
 Katibu mwenezi na Itoikadi CCM DMV akiuliza swali
 Bishop Martulu akiongea jambo. Picha na Tito Mazali

No comments: