Smoke house kwa ajili ya wanafunzi wa University of District of Columbia iliyodesigniwa na Temba Engineering Service ikifungwa kwenye shamba maalum la chuo hicho maeneo ya Maryland.
Smoke house hii itakuwa na uwezo wa kukausha samaki na matunda kwa upande wa umeme itakuwa na uwezo wa kutumia generator, umeme wa kawaida na umeme wa soral power.
No comments:
Post a Comment