Hii ni moja ya machine ya smoke house kutoka Temba Engineering Service iliyotengenezwa miaka kumi iliyopita. Kipindi hicho mwenye machine hii aliomba kutengezewa hili atakavyo staafu kazi awenayo nyumbani ili ajiajiri mwenyewe. Ni machine ndogo yenye uwezo wa kupika sausage pound mia 250 hadi 300 na hata zaidi ukizipanga vizuri.
Mzee alikuwa na plan B ya uzeeni yeye na mke wake wamejenga kibanda cha machine hii nyuma ya chumba yao huko Pennsylvania.
Hapa Dr Temba Engineer mwenyewe akiwa na mwenye machine hiyo Bwana Chicago na uku mkononi ameshika nyama ya polini kama kitoweo kilichokaushwa kwa kutumia machine hiyo yenye uwezo wa kupiga sausage na kukausha nyama pia.
Mzee Chicago akiongeza umri wa kuishi kwa kicheko baada kuchekeshwa na Ny Ebra.
Machine hipo nyuma ya nyumba hii ya Mzee Chicago na mke wake nyumba hii ina umri wa miaka 100 hapa ilipo mke wa Mzee Chicago kazaliwa hapa na sasa ana umri wa miaka 77.
Maisha ukisha staafu kazi serikalini!
Mwanangu! Kwa sasa ni dhiki lakini ukistaafu kazi ni ziki KUU
Kuna marafiki watatu watakuwa na wewe sambamba ukishastaafu hilo utake usitake wanakusubiri!
1Kama uliwekeza kwa watoto wako nao wana akili na uchungu na wewe basi wanaweza kukusaidia kupata ugali wako wa kila siku!
2Kama huna watoto wa kukusaidia inabidi urudi tena kwenye ajira tena. mf;Ulinzi kuokota machupa ya maji mitaani nk nk nk! Ili kupata ugali wako wa kila siku!
3Kama kama huna watoto pia hukupata ajira LAZIMA UFE Mwanangu!
2 comments:
Ny Ibra na Dr. Temba, asanteni sana kwa kutuonyesha mitambo ambayo nirahisi kutumia na kuboresha maisha bila kuwa na presha. Tunaomba muendelee kutuonyesha zaidi teklojia za sasa.
Bei gani hiyo machine?
Post a Comment