Advertisements

Friday, March 27, 2015

RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA

 Dullah Msangi (katikati) akiwa miongoni mwa wageni walioalikwa kusikiliza risala ya Rais Barack Obama katika jimbo la Birmingham, Alabama.
 Kadi maalum ya mwaliko wa kuhudhuria risala hiyo.
 Rais Barack Obama akiwasili ndani ya Air Force One katika jimbo la Alabama.
Kwa habari zaidi bofya SOMA ZAIDI


Vifaa vinavyong'aa ni Electronic Countermeasures katika Air Force One. Vilionekana baada ya ndege hiyo kubwa na ya kipekee kutua katika uwanja wa Birmingham jimboni Alabama.
Rais Barack Obama akisalimiana na Gavana wa jimbo la Alabama Dr. Robert Bentley mara baada ya kuwasili jimboni humo.
Rais Barack Obama akipanda gari lake maalum 'The Beast' tayari kuelekea Lawson State Community College kuzungumza na wananchi wa jimbo la Alabama.
Rais Barack Obama akizungumza na wananchi wa Birmingham, Alabama. Alisisitizia ukuaji wa uchumi na kudhibiti payday lenders ambao hukopesha wananchi wa kipato cha chini na kutoza riba kubwa wakati wa malipo.
Rais Barack Obama akiaga wananchi wa jimbo la Alabama nchini Marekani akirudi Washington, DC baada ya kuhitimisha ziara yake ya masaa machache jimboni humo.

2 comments:

Anonymous said...

washikaji mbona hiyo kadi mwandiko wa kibantu, jamaa kajiandikia mwenyewe na what is a big deal rais akija kuhutubia chuoni huo utaratibu wanafunzi na wafanyakazi kupewa ticket za kuingilia, sasa huyu ndugui yetu anataka kupretend kama vile white house ndio wamempa mwaliko wakati ticket zinatolewa na chuo, stop this bogus, sasa na wewe luka usiipost maana ukweli hupendi

Anonymous said...

That is not such a big issue, we were there and no one knows or advertised it. Just Normal visit.