Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

Rais Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa kwa safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya Dar es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete leo Machi 26, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakitembelea bandari.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo walipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha kitu Rais Paul Kagame wa Rwanda walipotembelea bandari mapema leo March 26, 2015 jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiongea jambo
PICHA NA IKULU
4 comments:
MKUTANO WA KIKWETE NA AKINA KAGAME,NI DALILI NZURI KUPUUZA UGOMVI NA MIVUTANO BAINA YA RWANDA NA TANZANIA,LAKINI KUACHWA TANZANIA KATIKA USHIRIKA WA NCHI ZA KENYA,UGANDA NA RWANDA KUNGEIACHA NYUMA NCHI,HASA BAADA YA RELI YA MOMBASA HADI KIGALI KUKAMILIKA,SISI TULITARAJIA RELI HIYO INGEANZIA NAIROBI,ARUSHA HADI MUSOMA AMBAKO MIZIGO INGEFIKA PORT BELL,ACHA BIFU KAGAME,HUWEZI KUENDELEA NA UGOMVI NA MAJIRANI,CONGES MRAMBA,Mwanza-Tanzania

Put your differences aside, move these Young Nations Forward.
Post a Comment