Advertisements

Tuesday, March 3, 2015

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimboakiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi 
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake 
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma 
leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwekaudongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu 
Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake 
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka 
shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi 
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake 
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.picha na Freddy Maro)

No comments: