ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 19, 2015

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi TUZO YA JAMII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye TUZO YA JAMII itakayofanyika Aprili 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa tuzo hizo Gadiel Urioh, tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa Julius Nyerere Convention Center jijini Dar Es Salaam.
Utaratibu mzima wa upigaji kura umefafanuliwa kwenye video na / ama taarifa kwa vyombo vya habari hapa chini


1 comment:

Anonymous said...

Kwa vigezo hivyo waondoe wa CCM woote halafu tuanze kuchagua