Advertisements

Saturday, March 28, 2015

Taswira Uchaguzi wa Nigeria - March 28, 2015


Licha ya vitisho vya magaidi wa Boko Harama wananchi wa Nigeria wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo March 28 kuchagua rais na bunge.

No comments: