Advertisements

Thursday, March 5, 2015

THELUJI ILIYOMWAGIKA DMV SIKU MZIMA FULL POWDER

 Theluji ni kero ikianguka kwani shughuli za watu uenda slow au hata kusimama kabisa inavyoonguka theluji lakini pia inapendeza kwani mandhari ubadilika na kuwa ya kuvutia kama uonavyo kwenye ukodak huu wa vijimambo maeneo ya Maryland.
 Barabara imefunikwa na theluji uwezi kuona hata lami na miti yote uonekana na weupe wa theluji hiyo.

 Sehemu zenye ardhi zote uonekana nyeupe kama unga hiyo ndiyo kazi ya theluji.
 Magari yamefunikwa na theluji ukitaka kutoka basi inabidi uwe na kazi ya ziada kuondoa theluji hiyo iliyo angukia gari lako.

No comments: