Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini Kwa Research yangu Ndogo nimegundua
30 ni kwa ajili wao wana watu wanaowajua
10 wao wameingia kwa njia ya kawaida
Hii imetokea sana hata humu ndani wapo wahanga mbalimbali ya wanawake mbalimbali walioingia kwenye hii disaster kwa pande zote mbili
Wanaume name
Wanawake
Nilichogundua kuwa hii kitu haiepukiki kwani kwa mfumo wa maisha ulivyo tight halafu inatokea chance ya mtu kukupa kazi au cheo ila tu kwa kigezo cha akuvue chip I kiukweli ni asilimia 1% tu watakataa ila wote waliobaki wanakubali
So hili tatizo haliwezi kwisha leo wala kesho na kwa jinsi hali ya ajira inavyozidi kwenda mambo yanazidi
8 comments:
Hili jambo ni kweli kabisa sasa naomba nitoe wazo kwa mfano wenzetu wa ulaya wanatumia agency's kwa kuwapagia wafanyakazi kwa mfano unataka specialist wa computer, unawasiliana na hizo agency's, wao wana watu wao ambao wameshawa interview ni shirika/kampuni useme unahitaji wafanykazi wa kazi za kudumu au temporary. Naona hiyo itasaidia.pia hizo agency's ziwekewe sheria kali ikijulikana wanajiingiza kwenye rushwa basi agency itafungiwa na faini kubwa na hata jela kwa kipindi fulani. Wadau mnaonaje hilo?
Agencies nazo zitakuwa na wanaume kama zilivyo kampuni ambazo zimeonesha kushamiri kwa rushwa ya ngono inayozungumuziwa hapa. Huona kama hii itahamisha tu rushwa ya ngono kutoka iliko sasa kwenda kwenye agencies? Maanake, kazi watapangiwa wale tu ambao wamekubali kutoa rushwa ya ngono.
Umetumia vigezo gani kufanya itafiti? Tafadhali tuelimishe.
Mifumo iliopo ktk nchi za dunia ya tatu ni vigumu kuwa kama wenzetu wa USA au Ulaya. Mifumo mingi hasa kiuchumi na kimaisha inaathiriwa na rushwa, ukabila na kujuana.
Sijui kama tutafanikiwa. ...kazi kwenu wadau.
Not in bongo mdau hapo juu,Tanzania haiko tayari kwenye mambo ya agency,nchi nzima inanuka rushwa,
Ni kweli rushwa ya ngono ipo sana. wengine wanaomba wazi, wengine wanasumbua mpaks muajiriwa anauliza tatizo liko wapi? anapewa jinsi ya kulitatua. niliambiwa na binti fulani aliyekuwa anatafuta kazi tasnia ya habari aliambiwa sharti ni kujitoa kwa mabosi au mishahara ya miezi sita mabosi wagawane. Mimi nadhani wana OFM waweke makachero wao katika hili hata kwa mwaka mzima, vitengo mbalimbali, serikali na binafsi waone matokeo yake.
tatizo wanaume wanapenda sana ngono ndo tatizo mwanzo mwisho.vicheche balaa katika dunia hii ni hao wanaume.
Lemutuz mtoto wa Samwel Malecela hana solution kwa hilo jambo jamani?
Post a Comment