ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 11, 2015

ABDULMAN OMAR DENDEGO NG'ARI NG'ARI NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE

 Abdulman Omar na mama mwenye nyumba wake wameremeta kiroho safi siku ya harusi yaho
 Bwana harusi akiachia tabasamu kiroho safi pembeni ya mama mwenye nyumba wake.

 Bwana harusi na bibi harusi katikati wakiwa na wapambe wao wakisoma dua

2 comments:

Anonymous said...

mmependeza.

Anonymous said...

Wewe Kajala ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa hospital.....sasa kama unapesa za kumlipa si umlipe unajiongelesha nini sasa?!! Watu kama wewe mko weeengi sana, mnasahau fadhila mapema sana. Inaonekana wewe ndo unamsema maneno kasha unajiwahi mtandaoni ili jamii ione kama wema ni mbaya...Rudisha pesa za watu tena na riba ju..kila mwezi unalipa 10% interest....Kwani unafikiri yeye hana ndugu huko kijijini kwao wakuwapatia hizo pesa mpaka akakupa wewe?! BINADAMU MUWE WEMA WA FADHILA jamani. ubaya mdogo husifute WEMA MKUBWA MIOYONI MWENU JAMANI... pia inatakiwa ujue ya kwamba, MASIKINI HANA HASIRA.