Jamila akiwa na jeraha usoni kwa tuhuma zakutembea na mume wa mtu.
“Jamila alikuwa akituhumiwa kutembea na mume wa Sheila na siku ya tukio alifuatwa baa na kupigwa hadi kutaka kutobolewa jicho,” kilidai chanzo.
Mwandishi wetu alifanya jitihada za kuwatafuta wahusika ambapo Jamila alipopatikana alisema:
“Jamani ukweli ni kwamba mimi niliwahi kutembea na yule mume wa Sheila lakini tulishaachana sasa nimemshangaa mkewe kuja na kunipa kipigo sababu tu ya maneno ya kusikia”, alisema Jamila na kuongeza:
Mwenye mume.
“Nilikwenda kufungua kesi Kituo cha Polisi Kawe lakini siku chache baadaye Sheila alikuja na kuniomba msamaha akidai kuwa alikosea kuamini maneno ya watu bila kufanya uchunguzi. Tumesameheana na yameisha.”
CREDIT:GPL


No comments:
Post a Comment