ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 11, 2015

AMINA CHIFUPA PASTOR JOSEPHAT GWAJIMA

6 comments:

Anonymous said...

Gwajima ni mwisho,

Anonymous said...

Jamaaa huyu mie sielewe huwa mkweli au vipi

Anonymous said...

Kama kiongozi wa dini anaweza thubutu kudanganya Umma kwa namna hii na umma ukamwamini basi tuna safari ndefu ya kumkomboa mTanzania kifikra..

Anonymous said...

upotovu mtupu huyu jamaa. jamani!!!

Anonymous said...

Wow, kweli wajinga ndio waliwao. Nalia kwa Nchi yangu ya watu wazuri na wema lakini rahisi kudanganywa kupitia dini bila ya kudadisi. Hiko kazi kweli.

Gwajima ataendelea kujivulia kirahisi.

Unknown said...

sishangai kwa nn Tanzania na Africa kwa ujumla haziendelei.. ni haya mambo ya ujinga ujinga.. sasa ndo naelewa pia kwa nn vita ya kupinga kuuwawa albino ni kubwa.