ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 13, 2015

BASI LA PRINCES MUNAA LAPIGA MWELEKA MKOANI DODOMA LEO



 
 Taarifa zilizotufikia kutokea Mkoani Dodoma zinasema kuwa kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

1 comment:

Anonymous said...

why also this time!God tupe wepesi shetani kazidi kutunyanyasa!